Thursday, November 13, 2008

Internet Workshop for Editor and Trainer day four

Kimsingi tulicho jinfunza kwenye siku ya nne washa hii ni namna ya kuweza kupata taarifa mbalimbali kwenye tovuti tofautitofauti na hii hasa kwamwandishi wa habari ambaye anpawsa kujua vitu vilivyo mbali na pale alipo kwa sasa.
Kwenye soma hili mwalimu Bwana Peik Johansson aliweza kutuonyesha tovuti kama:-
IPS – Intewr Press Service News Agency tovuti ambayo unaweza kupata au kutuma habari mbalimbali kwenye nchi zote duniani.
Allafrica.com kwenye tovuti hii unaweza kupata habari zote zinazo husu bara la afrika ni tovuti pekee unayo weza kujua nini kina endelea ndani ya Africa.
Africa electiondatabase hii pia nitovuti inayo elezea mifumo tofauti ya chaguzi katika afrika kwamfano nchi ya Kenya huchagua Raisi wake na Wabunge kila baada ya miaka mingapi sifa za wagombea na n.k
Hello in many language Hii ni tovuti ambayo inawasaidia wasafiri kujua maneno mbalimbali kutoka lugha nyingi zikiwa zile zakimataifa na zisizo zakimataifa
Hizi nibaadhi tu ya tovuti tulizo jifunza siku ya nne ya washa hii kimsingi zinamjenga mwandish katika kupata habari kiurahisi na kwa ufasaha.

No comments: